Kustawisha hali ya uchumi ya wanachama kwa kuendeleza shughuli za kilimo kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora na sheria ya vyama vya ushirika katika uratibu wa Masoko, kuongeza thamani ya Mazao, Pembejeo za kilimo, Mitambo ya kusimamia uendeshaji wa Vyama vya Ushirika.
Kuwa chombo madhubuti cha kulinda ni kutetea maslahi ya Wakulima katika nyanja mbalimbali kwa kubuni mbinu za kiuchumi ambazo ni endelevu.
"Ushirika ni Uchumi"